Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saido awe kama Kroos ama Luka Modric

Saidoo X Modric Saido awe kama Kroos ama Luka Modric

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Saido Ntibazonkiza mwenye umri wa miaka 37,ukiwauliza mashabiki wa Simba watakwambia Saido aachwe ila ukienda katika namba Saido amewazidi hao vijana.

-Msimu uliopita wa 22/23 alifunga goli 17 akiwa mfungaji bora sawa na Fiston Mayele na pia Saido aliingia katika kikosi bora cha msimu.

-Msimu huu tayari ana goli 10 na ndiye mfungaji bora ndani ya kikosi cha Simba. Nadhani anachofanya Rais wa Real Madrid Florentino Perez ndio ambacho wanatakiwa kufanya Simba.

-Kwa sababu Saido ni mchezaji mwenye mchango ndani ya Simba unatakiwa kumuongezea mwaka mmoja mmoja wa mkataba kama ilivyo kwa kina Toni Kross na Luka Modric pale Real Madr

Chanzo: www.tanzaniaweb.live