Wawakilishi wa Saidoo ndani ya Simba wametaarifiwa kuwa Mchezaji wao hata ongezewa mkataba mwishoni mwa msimu huu baada ya kumpa Ofa Ya Mkataba Wa Miezi 6 Mchezaji Huyo Lakini akagoma kutia Saini Akihitaji Mkataba wa mwaka mmoja Zaidi
Chanzo Changu kiliamua kufatilia mpaka ndani zaidi kuhusu taarifa hiyo na kugundua kuwa Viongozi wa Simba hawako tayari kukubaliana na saidoo kuhusu mkataba wa mwaka mmoja kama yuko tayali kusalia Basi akubali Mkataba wa miezi 6 Jambo ambalo hata Saidoo mwenyewe Hajakubaliana nalo.
Klabu ya APR ya Rwanda Klabu ya KMC na Tabora United kutoka Tanzania Zinasikilizia Hali ya Saidoo na Simba ili kuweza kumnyaka Kiungo huyo mshambuliaji Kama Free Agent Mwishoni mwa Msimu huu.