Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saido anaonesha kiwango cha kuombea mshahara - mchambuzi

Saido Mknb Saido anaonesha kiwango cha kuombea mshahara - mchambuzi

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchambuzi Master Tindwa amempongeza Saido kwa kufunga magoli mawili hii leo lakini amesema form [kiwango] hiki anachoonesha sasa ni cha kuombea mkataba mpya baada ya kuona Klabu haijamuweka kwenye vipaumbele vyao kwa msimu ujao

“Hiki ni kiwango cha kuombea mkataba”

Mtazamo wako kwenye hili ni upi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live