Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saido amfunika Chama Ligi Kuu

Chama X Saido Saido amfunika Chama Ligi Kuu

Mon, 5 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Geita Gold, Saido Ntibazonkiza amezidi kuonyesha ufundi wake kwenye soka katika kufunga na kutoa pasi za mwisho.

Ni Clatous Chama pekee ndio anaemzidi mchezaji huyo aliepata kupita kwa watani wa Simba, Klabu ya Yanga.

Saido anahusishwa kutua Simba dirisha dogo ili kuja kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.

Takwimu za Saido vs Chama.

Saido

Mabao -4 Asisti-6

Chama

Mabao-2 Asisti-7

Chanzo: www.tanzaniaweb.live