Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saido aachana rasmi na Simba

Snapinsta Saido Saido Ntibazonkiza

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo mshambuliaji, Saido Ntibazonkizab (37) ameachana rasmi na klabu ya Simba SC baada ya mkataba wake kufikia ukomo.

Klabu ya Coastal Union imeonesha nia ya kutaka saini ya mchezaji huyo mwenye profile kubwa zaidi ligi kuu Tanzania bara ili akaongeze uzoefu Kuelekea michuano ya CAF Confederations cup

Saido akiwa Simba ligi kuu :

◉ 1½ - Misimu

◉ 23 - Mabao ya kufunga

◉ 09 - Pasi za mabao.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live