Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Safari ya Azam FC kimataifa yaishia Chamazi

IMG 20230825 WA0101 Safari ya Azam FC kimataifa yaishia Chamazi

Fri, 25 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Azam FC imetolewa katika Kombe la Shirikisho Afrika kwa penati 4-3 dhidi ya Bahir Dar Kenema ya #Ethiopia kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam.

Azam FC iliongoza magoli 2-1 katika dakika 90 lakini matokeo ya jumla yakawa 3-3, hivyo mechi ikaelekea kwenye matuta.

Waliofunga penati za Azam FC ni Yannick Bangala Litombo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Cheikh Sidibé wakati waliokosa ni Djibril Sylla, Sospeter Bajana na Idris Mbombo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live