Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Mane hatihati kulikosa Kombe la Dunia

Skysports Sadio Mane Bayern Munich 5959097 Sadio Mane

Wed, 9 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Timu ya Taifa ya Senegal na Klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani Sadio Mane yupo katika hatihati ya kukosekana kwenye fainali ya Kombe la Dunia nchini Qatar mwaka 2022.

Mane alipata majeruhi katika mchezo dhidi ya Werder Bremen baada ya kuumia mguu katika dakika ya 20 kwenye mchezo ambao klabu hiyo iliibuka na ushindi wa bao 6-1.

Zimebaki takribani siku 12 hadi kufunguliwa kwa mashindano ya Kombe la Dunia ambapo mchezo wa kwanza wa Senegal utakuwa ni dhidi ya Uholanzi.

Katika mchezo huo ambao Bayern Munich iliibuka na ushindi mnono, mabao ya Bayern Munich yalifungwa na Jamal Musiala, Leon Goretzka, Tel pamoja na Serge Gnabry aliyefunga mabao matatu (3) Hat Trick.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live