Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Mane anyakua tuzo ya Mchezaji anaesaidia Jamii

Sadio Mane X Socrates.jpeg Sadio Mane

Mon, 17 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Bayern Munich Sadio Mane ameshinda tuzo ya Hamasa (Socrates Awards)hii ni tuzo wanayopewa wanasoka wanaosaidia sana jamii zao .

Mshambuliaji wa Bayern Munich Sadio Mane ameshinda tuzo ya Hamasa (Socrates Awards)hii ni tuzo wanayopewa wanasoka wanaosaidia sana jamii zao . Sadio Mane ndio mchezaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live