Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Mane anunua Timu Ufaransa

Sadio Mane Timu Ufarasnsa Sadio Mane

Wed, 25 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mané amenunua klabu ya Bourges Foot 18 inayoshiriki Ligi daraja la pili (2) Nchini Ufaransa (National 2).

Mchezaji huyo tayari ameingiza fedha ya kutosha ndani ya klabu hiyo kwa ajili ya kusajili Wachezaji wapya ambao wanaisaidia klabu hiyo.

Bourges Foot 18 inashika nafasi za mwisho katika kundi lake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live