Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Mane ampa makavu mwandishi, amchomolea waya (+Video)

Mane Akataa.jpeg Sadio Mane ampa makavu mwandishi, amchomolea waya

Mon, 24 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Bayern Munich Sadio Mane amemkatalia mwandihi wa Habari kufanya nae mahojiano akiwalalamikia kitendo cha kuandikwa vibaya.

Katika moja ya video anasikika mwandishi akimuuliza Sadio Mane;

Mwandishi: Sadio, naweza kukuuliza maswali machache?

Mane: Mnaniua (mnanisema) kila siku na sasa mnataka niongee na nyie?

Baada ya majibu hayo Sadio Mane aliondoka pasipo kufanya mahojiano na Mwandishi huyo.

Sadio Mane ameambiwa atafute Timu kwa kuwa Bayern kwa sasa hawana mipango nae na kitendo hicho kimewafanya Wanahabari kila kukicha kumshambulia Mane wakidai anapokea mshahara mkubwa lakini hana umuhimu katika klabu.

Tazama Video hapa chini kisha utuambie je Sadio Mane alikuwa sahihi?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live