Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Mane amchongea Sakho kwa Mabosi Simba SC (+Video)

Mane X Sakho Sadio Mane amchongea Sakho kwa Mabosi Simba SC

Thu, 23 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutoka kwenye ukurasa wa Mchezaji wa Bayern Munich na Timu ya Taifa ya Senegal Sadio Mane, amempost mchezaji wa Simba Pape Ousmane Sakho akiwa anacheza muziki na kusindikiza na ujumbe kuelekea kwa viongozi wa Simba akiwaeleza watazame namna mchezaji wao amekuwa mcheza Muziki.

Pape Sakho ameitwa katika Kikosi cha Timu ya Taifa ya Senegal kinachojiandaa na michezo ya kufuzu AFCON2023.

Huu ni ushindi mkubwa sana kwa Simba kwenye kuendeleza kuikuza Brand ya Simba.

Mtazame Sakho akicheza hapa chini sambamba na ujumbe wa Mane;

View this post on Instagram

A post shared by Ahmed Ally (@ahmedally_)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live