Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sadio Kanoute apewa 'Thank You' na Simba

Kanoute Msdz Sadio Kanoute apewa 'Thank You' na Simba

Tue, 9 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuwa kiungo Sadio Kanoute hatakuwa sehemu ya kikosi chao kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25 baada ya mkataba wa nyota huyo raia wa Mali kutamatika.

Kanoute (27) alijiunga na Simba msimu wa 2021/22 kutoka klabu ya Al Ahly Benghazi ya Libya.

"Kuelekea msimu mpya wa mashindano 2024/25 hatutakuwa na Sadio Kanoute katika kikosi chetu," imeeleza taarifa ya Simba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live