Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabitzer, Weghorst wapewa mkono wa kwa heri United

Sabtzer Marcel Sabitzer na Wout Weghorst

Mon, 3 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United wametangaza wachezaji wawili , Marcel Sabitzer na Wout Weghorst wanarejea kwenye klabu zao ( Bayern Munich na Burnley ) baada ya muda wao wa mkopo kufika tamati

Manchester United wametangaza wachezaji wawili , Marcel Sabitzer na Wout Weghorst wanarejea kwenye klabu zao ( Bayern Munich na Burnley ) baada ya muda wao wa mkopo kufika tamati Wachezaji hao wameshinda Kombe la Carabao wakiwa na Manchester United.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live