Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sabilo anukia JKT Tanzania

Sabilo Sixtus 1 1140x640 Sixtus Sabilo

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa Mbeya City, Sixtus Sabilo yupo mbioni kujiunga na JKT Tanzania ambayo imepanda Ligi Kuu msimu huu.

Mabosi wa JKT wanaendelea kukisuka kikosi chake kwa ajili ya kuleta ushindani na sio kushiriki kwani haitaki kuona ikirudi tena Championship.

Mabosi wa JKT walikuwa wanasubiri tu Sabilo amalize mechi yake ya mwisho (Jumamosi iliyopita).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live