Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Sababu ya TFF kumfutia Thomas Ulimwengu kadi nyekundu yatajwa

Ert Thomas Ulimwengu Sa Thomas Ulimwengu afutiwa kadi nyekundu

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate FC, Hussein Massanza ameeleza kuwa kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imefutia kadi nyekundu aliyoonyeshwa Thomas Ulimwengu kwenye mchezo dhidi ya Namungo FC.

Hatua hiyo n baada ya kujiridhisha kupitia Ushahidi wa picha jongeo (video) na taarifa za wakufunzi wa waamuzi kuwa hakustahili adhabu hiyo kwa kosa alilotenda.

Adhabu hiyo ni kwa kuzingatia Kanuni ya 12:8 ya Ligi Kuu kuhusu Usimamizi wa Ligi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live