Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Saa 48 chungu kwa Antonio Conte

Antonio Conte Racism Antonio Conte

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Tottenham Hospurs itafanya uamuzi kuhusu hatma ya baadaye ya kocha Antonio Conte kwa masaa 48 yajayo.

Hii ni baada ya Conte kuwakashifu wachezaji wake hadharani baada ya kutoka sare ya 3-3 na Southampton kwenye mechi ya Ligi.

Baadhi ya wachezaji wa kikosi cha kwanza wanadaiwa hawakufurahishwa na matamshi ya Conte na sasa uongozi wa Spurs unafikiria kumpiga kalamu Muitaliano huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: