Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#SHIRIKISHOAFRIKA: Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza dhidi ya Club Africain

Yanga Kikosi Tunis Kikosi cha Yanga kinachoanza mchezo wa leo

Wed, 9 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wawakilishi pekee wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika Timu ya Yanga wanshuka dimbani muda mchache kutoka sasa kuwavaa wenyeji Club Africain nchini Tunisia.

Mchezo huo ni wa mkondo wa pili baada ya ule wa awali kumalizika kwa sare ya bila kufungana katika Uwanja wa Benjamini Mkapa nchini Tanzania Novemba 2 mwaka huu.

Yanga wanahitaji ushindi ama sare ya kufungana ili waweze kufuzu kwa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live