Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#SHIRIKISHOAFRIKA: Half Time' Club Africain 0-0 Yanga

FhI5kSgWIAgQs6t Mchezo umeenda mapumziko matokeo yakiwa 0-0

Wed, 9 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Dakika 45 za Kipindi cha kwanza zimekamilika huku milango ikiwa bado ni migumu kwati ya Club Africain dhidi ya Yanga mchezo wa mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya Mkaundi Kombe la Shrikisho.

Dakika 45 za Kipindi cha kwanza zimekamilika huku milango ikiwa bado ni migumu kwati ya Club Africain dhidi ya Yanga mchezo wa mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya Mkaundi Kombe la Shrikisho. Kila Timu inajitahidi kucheza kwa tahdhari huku Yanga wakicheza kwa ubora wa hali ya juu na kuwafanya wenyeji kujihami zaidi, huku wakipiga shuti moja tu lililolenga goli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live