Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ruvu Shooting jahazi lazidi kwenda mrama Ligi Kuu

Ifeu Vs Ruvu Ihefu wanaibuka na alama tatu dhidi ya Ruvu Shooting

Sat, 17 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jan Disemba 16 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Mabao ya Ihefu SC yamefungwa na Obrey Chirwa dakika ya 85 na Michael Aidan aliyejifunga dakika ya 90.

Kwa matokeo hayo, Ihefu wanafikisha pointi 14 katika mchezo wa 16 na kusogea nafasi ya 14, wakati Ruvu inabaki nafasi ya 15 na pointi zake 11 za mechi 16 pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live