Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rushwa Chama cha Soka cha Ghana

KarimGrusahface Alhajj Grunsah

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtu ambaye alikua kwenye uongozi wa timu ya taifa ya Ghana Alhajj Grunsah amefichua kuwa alitakiwa kutoa rushwa kutoka kwenye fedha alizolipwa akiwa Qatar na timu ya taifa ya Ghana kwenye michuano ya FIFA World Cup.

Alhajj Grunsah anadai kuwa alilipwa kiasi cha Dola laki moja kwa siku 10 alizokuwa Qatar akiwa sehemu ya Management ya Black Stars, baada ya kulipwa fedha hizo Alhajj anaongeza kuwa kiongozi mmoja wa Chama cha Soka alimpigia simu na kumtaka arejeshe Dola elfu hamsini.

Alhajj Grunsah amesema yuko tayari kumtaja kiongozi huyo na atatoa mpaka ushahidi wa malipo ya benki kuthibitisha madai yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live