Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Runham asaini Chelsea

Rnham Frankie Runham

Tue, 11 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa England wa U16 Frankie Runham ameamua kusaini mkataba mpya wa muda mrefu na kuweka mustakabali wake Chelsea.

Nyota wa England wa U16 Frankie Runham ameamua kusaini mkataba mpya wa muda mrefu na kuweka mustakabali wake Chelsea. Nyota huyo anatazamiwa kuimarika akiwa katika kikosi cha vijana cha Chelsea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live