Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rufaa ya Robinho yagonga ukuta

Robinho Kifungo Robinho

Thu, 4 Apr 2024 Chanzo: Mwanaspoti

Mahakama ya rufani nchini Brazil imeitupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Mawakili wa aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil Robson de Souza maarufu kwa jina Robinho (40) juu ya kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 9 gerezani,

Mahakama ya rufani nchini Brazil imeitupilia mbali rufaa iliyokuwa imewasilishwa na Mawakili wa aliyekuwa mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil Robson de Souza maarufu kwa jina Robinho (40) juu ya kupinga hukumu ya kifungo cha miaka 9 gerezani, Robinho ambaye ni Mzaliwa wa São Vicente, State of São Paulo Nchini Brazil Sasa ataendelea kusalia gerezani mpaka adhabu yake itakapomalizika kufuatia kukutwa na hatia ya unyayasaji wa kingono alioufanya kipindi anaichezea klabu ya AC Milan mwaka 2013.

Chanzo: Mwanaspoti