Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rufaa ya Nottingham Forest yagonga mwamba

RNBSTH23XZLVHA6UZBDTTRLTBU Rufaa ya Nottingham Forest yagonga mwamba

Wed, 8 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza FA limetupilia mbali rufaa ya klabu ya Nottingham Forest juu ya kutaka adhabu ya kukatwa point 4 kwenye msimamo wa Ligi kuu Premier League iondolewe.

Shirikisho la mpira wa miguu nchini Uingereza FA limetupilia mbali rufaa ya klabu ya Nottingham Forest juu ya kutaka adhabu ya kukatwa point 4 kwenye msimamo wa Ligi kuu Premier League iondolewe. Hukumu hiyo itaendelea kama ilivyo baada ya kamati ya rufaa kujiridhisha kuwa adhabu ya shirikisho hilo haijakiuka kanuni na taratibu za uendeshaji wa sheria za FFP.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live