Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rufaa ya Kocha wa Taifa Stars kusikilizwa leo

Adel Amrouche Kocha Stars Kocha wa Taifa Stars, Adel Amrouche

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa katibu wa Shirikisho la soka nchini Tanzania Wilfred Kidao ameweka wazi kuwa rufaa ya kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche inatarajiwa kusikilizwa leo na kamati ya nidhamu ya CAF.

Kwa mujibu wa katibu wa Shirikisho la soka nchini Tanzania Wilfred Kidao ameweka wazi kuwa rufaa ya kocha mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche inatarajiwa kusikilizwa leo na kamati ya nidhamu ya CAF. Amrouche alifungiwa na Shirikisho la soka Barani Afrika CAF kusimama kwenye benchi michezo nane [8] baada ya kulituhumu Shirikisho la soka nchini Morocco kuwa linashiriki kwenye upangaji wa waamuzi wa Michezo ya CAF

Chanzo: www.tanzaniaweb.live