Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rudiger ajeruhiwa vibaya akifunga bao

Antonio Rudiger Hj Antonio Rudiger

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa Real Madrid, Antonio Rudiger amejeruhiwa na kipa wa Klabu ya Shakhtar, Anotolii Trubin wakati akifunga bao la kusawazisha dakika za lala salama.

Rudiger alifunga bao hilo katika dakika tano za nyongeza baada ya dakika 90 kukamilika usiku wa jana Oktoba 11, 2022.

Sare hiyo imeipa faida Real Madrid na kutinga hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya wakiungana na Man City.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live