Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rudiger afichua siri ya Ancelotti

Carlo X Rudiger Rudiger afichua siri ya Ancelotti

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Nilikuwa kwenye nyumba yangu mpya pamoja na familia yangu kwa masaa machache gafla nikasikia kengele ya mlango inagongwa kwa ishara kuwa kuna mtu anahitaji kufunguliwa mlango basi nikaamka kutoka nilipokaa na kwenda kufungua mlango,nilipofungua tu mlango mbele yangu alikuwa amesimama Carlo Ancelotti.

Alikaribia ndani tulikaa pamoja tukala pamoja na aliijua familia yangu kwa undani zaidi ni mtu wakawaida sana,tulikuwa nae kwa takribani masaa mawili tuliongea kuhusu kila kitu niwe mkweli sijawahi kufanyiwa kitu kama hichi na kocha yoyote yule tangu nianze mpira baada ya miezi michache kuwa na Carlo Ancelotti nikasema kwenye suala zima la kujihusisha na wachezaji basi Carlo Ancelotti ni namba moja".

Don Carlo Ancelotti ni zaidi ya kocha unaambiwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live