Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roy Keane ataja wachezaji wa kubaki Man United msimu ujao

Roy Keane X Bruno Roy Keane ataja wachezaji wa kubaki Man United msimu ujao

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa zamani wa Manchester United, Roy Keane, ametoa orodha ya wachezaji ambao angependa wasalie Old Trafford msimu ujao.

Gwiji huyo wa zamani wa United amewataja;

Lisandro Martinez

Mason Mount

Casemiro

Kobbie Mainoo

Bruno Fernandes

Unakubaliana na orodha ya Keane? nani aingie na nani atoke?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live