Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roy Keane: Arsenal ya sasa inabeba Ubingwa

Roy Keane On Gunners Roy Keane: Arsenal ya sasa inabeba Ubingwa

Tue, 12 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa zamani wa Manchester United Roy Keane ameipa nafasi ya kuchukua ubingwa wa EPL klabu ya Arsenal ambayo inaongoza Ligi hadi hivi sasa.

Nyota wa zamani wa Manchester United Roy Keane ameipa nafasi ya kuchukua ubingwa wa EPL klabu ya Arsenal ambayo inaongoza Ligi hadi hivi sasa. Roy amesema Arsenal ya msimu huu imebadilika pakubwa sana.Wamefanya maboresho ya sehemu zilizokuwa na mapungufu na pengine kilichotokea msimu uliopita hakitaweza kutokea msimu huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live