Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rosie asimulia tukio la kuliliwa na watoto wa bosi wake Lebanon

Rosie Kenya Rosie asimulia tukio la kuliliwa na watoto wa bosi wake Lebanon

Fri, 8 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku chache zilizopita Kupitia mitandao ya kijamii kulionekana video Watoto wakimlilia raia wa Kenya aliyefahamika kwa jina la "Rosie" wakati akiwa anasindikizwa hadi uwanja wa ndege na waajiri wake na Watoto aliokuwa akiwalea, kutoka Lebanon kuelekea nchini Kenya.

Rosie alikuwa akifanya kazi ya uyayakatika familia hiyo, Ambapo kwa zaidi ya Miaka miwili alikuwa akiishi na familia hiyo na kuwalea watoto wa Familia hiyo kama wa kwake.Kiasi kwamba watoto hao walikuwa wamechanganyikiwa na kuondoka kwake na walimchukulia kama mama yao .

Video hii ilibua hisia nzito kwa watu wengi, huku wakisifu familiahiyo ya Lebanon kwakuishi vizuri na Rosie akiwakamamfanyakazi wakazi zandani.

Baada ya kufika Kenya Rosie alifanya mahojiano na kusema, tukio la kuondoka kwake ni tukio lililo huzunisha moyo wake sana kwani aliipenda sana familia hiyo.

Je, Upendo wanamna hii kwa yaya upo pia kwako au katika familia yako?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live