Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rooney atupiwa virago Birmingham

Wayne Rooney.jpeg Wayne Rooney

Wed, 3 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester United na England, Wayne Rooney amefutwa kazi kama kocha mkuu wa klabu ya Birmingham City kufuatia mwenendo usioridhisha wa matokeo tangu ajiunge na klabu hiyo.

Rooney (38) ameiongoza Birmingham kwenye mechi 15 akipoteza mechi 9, sare 4 na ushindi mara mbili (2) tu.

Klabu hiyo imeporomoka kutoka nafasi ya 6 mpaka nafasi ya 20 kwenye msimamo wa Championship ndani ya siku 83 za utumishi wa Rooney kama kocha Mkuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live