Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rooney ajipanga kumrithi Ten Hag Man United

Wayne Rooney.jpeg Wayne Rooney

Sat, 11 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Uingereza zinaarifu kuwa kocha wa zamani wa Birmingham City, Wayne Rooney atawasilisha ofa yake ya kutaka kuifundisha Manchester United.

Kikosi hicho chini ya kocha wa sasa Erik Ten Hag kimeshindwa kuwa na makali n kufanya kikose nafasi ya kushiriki Mashindano ya Uefa Champions League kwa msimu ujao.

Rooney ambae pia ni mchezaji wa zamani wa klabu hiyo anatamani zaidi kuifundisha klabu hiyo ili atimize ndoto zake za kuichezea pamoja na kuifundisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live