Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rooney: Ndoto yangu kufundisha Man United

Rooney Wayne Rooney

Thu, 30 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gwiji la Uingereza na nyota wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amesema ana ndoto ya siku moja kuja kuifundisha Man United pamoja na Everton.

Gwiji la Uingereza na nyota wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amesema ana ndoto ya siku moja kuja kuifundisha Man United pamoja na Everton. “Ndoto zangu zipo wazi. Kila siku nimekuwa nikisema, ningependa kuifundisha Everton na Manchester United.” amesema Wayne Rooney ambaye ameteuliwa kuifundisha Klabu ya Plymouth Argyle inayoshiriki Ligi ya Championship.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live