Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronwen ana rekodi nzuri ya kudaka penati kwa Waarabu

Ronwen Williams (1) Ronwen Williams

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa Mamelodi Sundowns, Ronwen Williams ameiokoa timu yake kwa kucheza mkwaju wa penati wa Al Ahly wakati wa mchezo wao wa Nusu Fainali ya African Football League uliopigwa usiku wa kuamkia leo nchini Misri.

Ronwen Williams sio mara ya kwanza kuokoa mchomo wa Penati katika uwanja wa Cairo International Stadium.

Februari 25, 2023 - Aliokoa Penati ya Mohamed Hany, lakini pia jana Novemba 1, 2023 - Ameokoa mchomo wa Ali Maaloul.

Ronwen Williams anapenda kucheza Cairo International Stadium.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live