Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronwen Williams man of the match Al Ahly vs Mamelodi

Ronwen Williams Bafana Bafana Swaziland Ivory Coast Ronwen Williams

Thu, 2 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ronwen Williams ndiye Shujaa wa mchezo wa jana ni Mlinda mlango wa Klabu ya Mamelodi ambaye kwa kiasi kikubwa amesaidia timu yake kutinga hatua ya Fainali ya michuano ya African Football League.

Williams ametoa michomo yote ya hatari katika lango la Mamelodi Sundowns pia amefanikiwa kutoa mkwaju wa penati uliopigwa na Maaloul kwenye dakika ya 11 ya mchezo.

Ikumbukwe hii sio mara ya kwanza kwa Mlinda mlango huyo kutoa mkwaju wa penati hata kwenye mchezo wa Petro De Luanda dhidi ya Mamelodi Sundowns akifanikiwa kutoa penati, mechi ya Al Hilal Omdurman na Mamelodi pia aliokoa tuta kiukweli anastahili pongezi

Unampa alama ngapi mwamba kati ya 1/10?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live