Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo yuko kwenye Dunia yake Saudi Arabia

Ronaldo Kuchunguzwa Kisa Staili Yake Ya Ushangiliaji Ronaldo yuko kwenye Dunia yake Saudi Arabia

Tue, 5 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Al Nassr Cristiano Ronaldo ameendelea kukiwasha vilivyo kwenye ligi kuu ya Saudia (Saudi Pro League) ambapo tayari amechangia mabao 31, akifunga mabao 22 na kutoa asisti 9.

Msimamo wa wanaoongoza kwa Magoli Saudia;

1. Cristiano Ronaldo - 22

2. Aleksandr Mitrovic - 19

3. Anderson Talisca - 16

Msimamo wa wanaoongoza kwa asisti Sauidia;

1. Cristiano Ronaldo - 9

2. Alvaro Medran - 9

3. Mourad Betna - 8

Chanzo: www.tanzaniaweb.live