Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo uso kwa uso na Hagen leo

Ronaldo Hj Ronaldo uso kwa uso na Hagen leo

Tue, 25 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Man United Cristiano Ronaldo baada ya kuondolewa kwenye kikosi cha kwanza cha Man United na kutakiwa kufanya mazoezi binafsi leo Jumanne ya October 25 2022 amewasili Carrington (uwanja wa mazoezi wa Man U) kwa ajili ya kukutana na Kocha Erik Ten Hagen.

Ronaldo aliondolewa kwenye kikosi cha kwanza baada ya kugoma kuingia uwanjani zikiwa zimebaki dakika 5 kabla ya game ya Tottenham na Man United kumalizika kwa ushindi wa 2-0.

Hivyo leo Ronaldo atakutana na Kocha Ten Hagen kwa ajili ya kujua hatma yake licha ya kuwa inadaiwa anaondoka Man United bure January 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live