Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo na chama lake wagawa dozi Champions

RONALDO AFC Ronaldo na chama lake wagawa dozi Champions

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Nassr hiyo jana wameshinda magoli matatu kwa moja dhidi ya Istiklol kwenye mchezo wa makundi ya michuano ya AFC Champions, mchezo uliopigwa katika dimba la KSU Football.

Ronaldo na Talisca ndio wafungaji pekee kwenye mchezo huo na kufanikisha Al Nassr kuvuna alama tatu muhimu kwenye mechi ya pili ya Makundi.

AL NASSR 3 - 1 ISTIKLOL

44' - ⚽ S. Sebai

66' - ⚽ C. Ronaldo

72' - ⚽ A. Talisca

77' - ⚽ A. Talisca

Cristiano Ronaldo anafanikiwa pia kuandika rekodi ya kufikisha magoli 855 kwenye karia yake ya soka Duniani.

KUNDI E AFC CHAMPIONS

Istiklol Dushanbe - 04 pts

Al Nassr - 03 pts

Al Duhail sc - 02

Persepoils - 01 pts

Chanzo: www.tanzaniaweb.live