Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo mchezaji Bora wa mwezi Saudi Arabia

Ronado Saudi Arabia Cristiano Ronaldo

Tue, 3 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amechaguliwa kuwa Mchezaji bora wa Mwezi Septemba wa Ligi Kuu Saudi Arabia.

Katika Mwezi Septemba akiwa na Al Nassr rekodi zake ni kama ifuatavyo;

Mechi -4

Magoli -5

Assists- 3

Amehusika katika magoli 8

Unadhani Ronaldo amestahili Tuzo hiyo?, Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live