Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo mambo magumu Saudi Arabia

Ronaldo Mhsg Ronaldo mambo magumu Saudi Arabia

Tue, 25 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia anakochezea Mreno Cristiano Ronaldo imetupwa nje ya michuano ya kombe la mfalme kufuatia kipigo cha 1-0 dhidi ya Al Wehda FC kwenye nusu fainali huku Cristiano Ronaldo akishindwa kufunga bao kwenye mchezo wa tatu mfululizo.

FT': Al Nassr FC 0-1 Al Wehda FC ⚽ Beauguel 23'

Al Nassr FC imefurushwa kwenye kikombe cha pili baada ya kuondoshwa pia kwenye Super Cup.

Al Wehda imetinga fainali ambapo itachuana na Al Hilal iliyotinga fainali kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Al Ittihad FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live