Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kuungana na Bruno Al Nassr?

Bruno X Ronaldo Saudia Ronaldo kuungana na Bruno Al Nassr?

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya soka ya Al Nassir inayoshiriki ligi kuu nchini Saudi Arabia “Saudi Pro”, imeonyesha dhamira ya kuitaka saini ya kiungo wa Manchester United Bruno Fernandez.

Klabu ya soka ya Al Nassir inayoshiriki ligi kuu nchini Saudi Arabia “Saudi Pro”, imeonyesha dhamira ya kuitaka saini ya kiungo wa Manchester United Bruno Fernandez. kama dili hiyo ikikamilika basi kiungo huyo ataenda kuungana na raia mwenzake wa Ureno Cristiano Ronaldo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live