Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kusaini Mkataba mpya Al Nassr

Ronaldo 4416048 Ronaldo kusaini Mkataba mpya Al Nassr

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nahodha wa Ureno Cristiano Ronaldo amezungumza na uongozi wa Al Nassr FC kabla ya kwenda kwenye kambi ya Timu ya Taifa na amewaambia kuwa yuko tayari kuongeza mkataba wa kuendelea kubakia hadi January mwaka 2027 baada ya kucheza Final za Kombe la Dunia la 2026 baada ya hapo atatangaza kustaafu soka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live