Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kupoteza dili zake na Kampuni ya Nike?

CR 7 Deals.jpeg Cristiano Ronaldo

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo anaweza kupoteza udhamini wake na Nike baada ya kuvaa shinpad za Adidas

Kitendo cha Ronaldo kuvaa Shinpad za Adidas katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Celta Vigo kina weza kuchukuliwa kama ukiukaji wa mkataba wake na Nike.

Hasa ukizingatia Nike na Adidas ni washindani wakubwa katika soko la chapa za michezo, Ronaldo na Nike wame fanya kazi kwa pamoja kwa zaidi ya miaka20.

Kwa kawaida Ronaldo hua anavaa shinpads binafsi lakini hakuwahi kuvaa Shinpads za mpinzani wa kibiashara na Nike kwa kipindi chote cha miaka 20.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live