Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kupoteza Sh bilioni 42

Ronaldo Kutua Bayern Cristiano Ronaldo

Fri, 18 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manchester United imechukua hatua za awali za kumfuta kazi mshambuliaji Cristiano Ronaldo kufuatia mahojiano yake na mwandishi Piers Morgan.

Ronaldo anashutumiwa kuvunja masharti ya mkataba wake hivyo mkataba utavunjwa na anatarajiwa kupoteza kiasi cha pauni milioni 16 (Tsh bilioni 41) za mishahara.

Mreno huyo hana nafasi ya kurejea tena klabuni hapo huku wachezaji wenzake wakiripotiwa kuwa na maoni tofauti juu ya mshindi huyo mara 5 wa Ballon d'or.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live