Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kuongeza kandarasi Al Nassr

Ronaldo Nassr Ms Ronaldo

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo ameripotiwa kuuambia uongozi wa klabu yake ya Al Nassr FC kuwa anataka kusaini nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka 2027.

Shauku ya Ronaldo (38) ni kushiriki kombe la Dunia la FIFA 2026 wakati akiwa mchezaji wa Al Nassr kabla ya kustaafu soka. Ronaldo atakuwa na umri wa miaka 41 wakati wa kombe la Dunia 2026.

Ronaldo alijiunga na Al Nassr FC mnamo Disemba 2022 na kufanywa nahodha wa klabu hiyo ambapo ameifungia magoli 25 na pasi saidizi (assist) 8 katika mechi 30 mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live