Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kumlipa Georgina Milioni 257 kila mwezi wakiachana

Ronaldo With Georgina Ronaldo kumlipa Georgina Milioni 257 kila mwezi wakiachana

Wed, 14 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mitandao inaripoti kwamba Cristiano Ronaldo amesaini makubaliano ya kabla ya ndoa (pre-nup agreement) ambapo imeelezwa kwamba, kama ikitokea wakaachana, nyota huyo wa Ureno atakuwa akimlipa mpenzi wake Georgina Rodriguez kiasi cha (€100,000) zaidi ya TSh. Milioni 257 kila mwezi katika kipindi chote cha maisha yake.

Ronaldo na Georgina wana watoto wawili pamoja huku wakilea familia ya watoto watano ambao Ronaldo aliwapata nje.

Una maoni gani? Tuachie comment yako.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live