Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kumfuata Messi Inter Miami

Ronaldo Messi Saudi Ronaldo kumfuata Messi Inter Miami

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Inter Miami imepanga kuanza harakati za kuangalia uwezekano wa kumsajili nahodha wa klabu ya Al Nassr Riyadh, Cristiano Ronaldo.

Timu hiyo ya Inter Miami kutoka Marekani inataka kumsajili mchezaji huyo katika dirisha kubwa la usajili.

Kama usajili huo utakamilika Ronaldo ataenda kukutana na hasimu wake wa muda mrefu Lionel Messi ambaye anakipiga katika klabu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live