Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo kuchunguzwa kisa staili yake ya ushangiliaji

Ronaldo Kuchunguzwa Kisa Staili Yake Ya Ushangiliaji Ronaldo kuchunguzwa kisa staili yake ya ushangiliaji

Mon, 26 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Inaelezwa kuwa kamati ya nidhamu ya Ligi kuu Saudi Arabia imeanza uchunguzi kwa nahodha wa klabu ya Al Nassr C. Ronaldo kwa kushangilia kwa style ambayo imeonekana kuwa na ishara mbaya michezoni mbele ya mashabiki wa klabu ya Al Shabab pindi Mchezo ulipokuwa unaendelea hapo jana.

Inaelezwa kuwa kamati ya nidhamu ya Ligi kuu Saudi Arabia imeanza uchunguzi kwa nahodha wa klabu ya Al Nassr C. Ronaldo kwa kushangilia kwa style ambayo imeonekana kuwa na ishara mbaya michezoni mbele ya mashabiki wa klabu ya Al Shabab pindi Mchezo ulipokuwa unaendelea hapo jana. Uchunguzi huo utakaotamatishwa ndani ya masaa 48 yajayo na maamuzi yatatolewa mara tu uchunguzi utakapotamatika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live