Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo bado yupo sana Al Nassr

Ronaldo Mane08 Ronaldo bado yupo sana Al Nassr

Wed, 15 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Al Nassr FC ya Saudi Arabia imefungua mazungumzo na nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia klabuni hapo mpaka 2027.

Mkataba huo mpya unatarajiwa kuanza Januari 2025 na kutamatika Januari 2027.

Hivyo Ronaldo anaweza kupata nafasi ya kushiriki kombe la Dunia 2026 akiwa mchezaji wa Al Nassr FC.

NB: Mkataba huo mpya wa Ronaldo utamalizika mwezi mmoja kabla ya mshindi huyo mara 5 wa Ballon d'or kutimiza miaka 42.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live