Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo bado mabao 99 tu

Ronaldoooooooooooo Ronaldo bado mabao 99 tu

Mon, 9 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo amefunga bao la 901 akiiandikia Ureno bao la uongozi dhidi ya Scotland kwenye mchezo wa UEFA Nations League katika dimba la Estádio da Luz (Lisbon).

Scott McTominay aliitanguliza Scotland mapema dakika ya 1 kabla ya Bruno Fernandes kuisawazishia Ureno dakika ya 55 na Ronaldo kuandika rekodi nyingine dakika ya 88’

FT: Ureno 2-1 Scotland

Ronaldo amebakisha magoli 99 ili afunge hesabu ya magoli ELFU MOJA (1000).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live