Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ronaldo aweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza kufikisha followers bilioni 1 Insta

Ronaldo Golden Boot Ronaldo aweka rekodi ya kuwa binadamu wa kwanza kufikisha followers bilioni 1 Insta

Sat, 14 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ambayo haijawahi kushuhudiwa, kufuatia kuwa mtu wa kwanza katika historia kuzidi wafuasi bilioni 1 kwenye mitandao ya kijamii.

Mafanikio haya ya ajabu yakustaajabisha ameyaweka kupitia Instagram, Facebook, X (zamani Twitter), Kuaishou, Weibo na YouTube, ambapo watazamaji wake wote wamefikia nambari maarufu.

Ufikiwaji wa Ronaldo umekua zaidi ya mpira wa miguu, na kumtambulisha kama Icon wa kimataifa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live